Kufanya Malipo kwa Kutumia M-PESA Kwenda Benki:
Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga Bonyeza # 6 – kwenda kwenye huduma za kifedha Chagua # 2 – M-PESA kwenda Benki Chagua kutoka kwenye orodha # 1 – CRDB Chagua # 1 ili kuweka namba ya akaunti Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti […]
Read More »