Malipo kwa Airtel Money Kwenda Banki
Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga Chagua 1: Kutuma Pesa “BURE” Chagua 3: Tuma kwenda Benki Chagua 2: Benki ya CRDB Weka Nambari ya Akaunti ((Namba ya akaunti yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900)) Weka – kiasi kinachodaiwa (idadi Tu) = TZS……………………….. Weka namba ya siri […]
Read More »