Namna ya Kufanya Malipo Benki, MPESA, TIGOPESA, AIRTEL

Kufanya Malipo kwa Kuweka Benki kwa Mkono

 • Jina Benki: CRDB PLC
 • Tawi: Arusha
 • Jina la Akaunti:  InfoCom Center
 • Akaunti  Namba. 01j1034874900
 • Swift Code: CORUTZTZ

Kufanya Malipo kwa Kutumia  M-PESA Kwenda Benki:

Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga

 1. Bonyeza # 6 – kwenda kwenye huduma za kifedha
 2. Chagua # 2 – M-PESA kwenda  Benki
 3. Chagua kutoka kwenye orodha # 1 – CRDB
 4. Chagua # 1 ili kuweka namba ya akaunti
 5. Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti  yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900)
 6. Weka – kiasi kinachodaiwa – (namba tu) = TZS………………………….
 7. Weka namba ya siri – Ingiza namba yako ya siri ya MPESA
 8. Bonyeza 1 kuthibitisha -Ingiza namba. 1 kukubali malipo

Subiri  ujumbe wa kukamilisha muamala wako  kutoka Vodacom na CRDB. Kama malipo hayakufanikiwa, tafadhali rudia kuanzia hatua namba. 1 hapo juu

Malipo ya Benki kwa Tigo-PESA

Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga

 1. Bonyeza # 6 – huduma za kifedha
 2. Bonyeza # 1 – Tigo-PESA kwenda Benki
 3. Chagua kwenye orodha # 1 – CRDB
 4. Chagua # 1 ili kuingiza namba ya akaunti
 5. Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti  yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900)
 6. Weka – kiasi kinachodaiwa (namba tu) = TZS………………………………
 7. Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako

Subiri ujumbe wa kukamilisha mualamala kutoka Tigo na CRDB. Kama malipo hayakufanikiwa tafadhali  rudia kuanzia  hatua na. 1 hapo juu

Malipo kwa Airtel Money Kwenda Banki:

 1. Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga
 2. Chagua 1: Kutuma Pesa “BURE”
 3. Chagua 3: Tuma kwenda Benki
 4. Chagua 2: Benki ya CRDB
 5. Weka Nambari ya Akaunti ((Namba ya akaunti  yetu ni: 01J1034874900 AU 0111034874900))
 6. Weka – kiasi kinachodaiwa (idadi Tu) = TZS………………………..
 7. Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako

Utapokea ujumbe kutoka Airtel kwa mfano

“Txn Id: NW160506.0901.A02324 Umelipa TZS.169,400.00 kwenda Benki ya CRDB (Mafanikio: Kiasi kilichobaki kwenye akaunti yako ni 200.00Tshs.”

Ushahidi wa Malipo

MUHIMU!

Tuma kwetu  ushahidi wa malipo pamoja na invoice ya madai kupitia barua pepe ya malipo: [email protected]

Kuondoa usumbufu, tuma kwa kuijibu email yenye invoice yetu ya mwisho

Hutapewa huduma mpaka ushahidi wa malipo kwa kufuata utaratibu ufuatao utumwe kwetu:

 1. Ambatanisha invoice ya madai kutoka kwetu na ushahidi wa malipo
 2. Kama umeweka kwa mkono benki, tupa slipu kutoka benki
 3. Kama umeweka kwa kutumia wakala wa benki, pia ambatanisha slipu ya malipo
 4. Kama umetuma kwa kutumia simu, tutumie ujumbe wa kupokelewa pesa kutoka CRDB
 5. Kumbuka pia kuweka ushahidi  wa malipo kwa ajili ya kumbukumbu kwa sababu tunaweza kuhitaji huko mbeleni.

Request a Quote

Please fill all required details and click submit form

How to pay?

Phone no 0xxxxxxxxx
eg. P.O. Box ......., Arusha AND Include. Street, Road, Town/city and country
Any remarks, instructions PLUS Payment Evidence

By submitting this form you accept terms and condition

Terms and conditions

How to pay?

About the Author

Leave a Reply

sixteen − twelve =

*